TIGO YATOA OFA KABAMBE YA SMARTPHONE ZENYE UBORA NA KIWANGO CHA HALI YA JUU
Meneja
wa huduma za intarnet kampuni ya tigo Titas Kafuma na Mkurugenzi
mtendaji wa kampuni ya Huawei technologies t co.ltd Bw, Bruce Zhang
wakizindua huduma ya moja za simu za Smart Phone ambazo zitakuwa na
ubora wa hali ya juu na bei nafuu kwa mteja
Mmoja ya maofisa wa Kampuni hiyo Mariamu Mlangwa akizungumza
Meneja wa huduma za intarnet kampuni ya tigo Titas Kafuma
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Huawei technologies t co.ltd Bw, Bruce Zhang akitoa ufafanuzi
No comments:
Post a Comment