Meneja Masoko wa
Tigo Pesa wa Kampuni ya Tigo Bw, Goodluck Charles kushoto akizungumza na
waandishi wa Habari Dar Es salaam leo kuusu kutumia huduma za tigo pesa
bure kwa watu wa mikoani popote nchini kulia ni Ofisa Uhusiano Msaidizi
wa Kampuni ya Tigo Tulli Mwaikenda |
No comments:
Post a Comment