Saturday, March 23, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA SERIKALI YA UINGEREZA NA UJUMBE WAKE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds (kushoto kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 22, 2013 kwa amazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds (kushoto) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment