Thursday, April 18, 2013
UPDATES: PICHA ZA MSIBA WA MAREHEMU BI KIDUDE HUKO ZANZIBAR
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude, Zanzibar
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude
Umati wa Watu waliofika msibani.Picha Kwa Hisani ya Bongoswag
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment