Monday, May 6, 2013

TBL YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VYUO VINAVYOSHIRIKI MASHINDANO YA SAFARI LAGER POOL MBEYA


  Mwenyekiti wa chama cha Pool Mkoa wa Mbeya, Aron Samweli (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vya mashindano ya Safari Lager Pool Higher Learning Mkoa wa Mbea .Kulia ni Makamu Mwenyekiti , Obmark Malebeja
 Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Pool Mbeya
Mwenyekiti wa chama cha Pool Mkoa wa Mbeya, Aron Samweli (kulia) akimkabidhi tisheti mwanafunzi wa Chuo cha TEK Mkoani Mbeya,Msuda Jeremia  kwa ajili ya mashindano ya Safari Lager Pool yanayotarajiwa kuafanyika jumapili

No comments:

Post a Comment