GAPCO TANZANIA LTD YAENDEREA NA PROMOSHENI YA GAPCO RELSTAR OIL
Wasanii
wa JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco
Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laMwananyamala Dar es salaam kutoka kushoto ni Omar
Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na
Mwakilishi
wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw.Stevin Mwakamele Akimkabidhi mmoja wa
wateja Selemani Yusufu dumu la lita tano wakati wa promosheni ya Gapco
Relstar inayoendelea katika jiji la Dar es salaam jana eneo la
Mwananyamala
Mwakilishi
wa Kampuni ya Gapco ,Lightnes Samwel kulia akimkabidhi Mwendesha
pikipiki Mrema Johnson Oil ya Gapco Relsta wakati wa promosheni
inayoendelea jijini Dar es salaam Picha na
No comments:
Post a Comment