Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?)

Friday, July 26, 2013

FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA DAR LIVE IDDI MOSI




Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi'  PICHA NA BLOG YA SUPER D

Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini ya Dole Gumba  mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi'  PICHA NA BLOG YA SUPER D

Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi kiasi cha pesa bondia Fransic Miyeyusho kama sehemu ya maandalizi ya mpambano wake utakaofanyika siku ya Sikukuu ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live PICHA NA BLOG YA SUPER D
Amri Massare (Maximo) at 1:05 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Amri Massare (Maximo)
View my complete profile
Powered by Blogger.