Tuesday, August 6, 2013
RAMADHANI SHAURI ALIVYO ONESHANA UBABE NA RICO MUELLER NCHINI GERMANY
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na
Rico Mueller wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa
International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na
Rico Mueller wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa
International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title baada ya mpambano huo shauri amepata mkataba wa kucheza mchezo mwingine katika nchi hiyo tena tunamtakia kila la heri bondia mtanzania Ramadhani Shauri
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment