Sunday, February 2, 2014

MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM YAFANA MBEYA



 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Wananchi wakati wa matembezi ya mshikamano ya maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa CCM yaliyoanzia Soweto hadi Bustani ya Jiji la Mbeya leo asubuhi.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akiwa na watoto wakati wa matembezi ya kuadhimisha miaka 37 ya CCM, jijini Mbeya leo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya (katikati) akitetembea kwa ukakamavu wakati wa wakati wa matembezi ya kuadhimisha miaka 37 ya CCM, jijini Mbeya leo. Matembezi hayo yalianzia Soweto hadi Bustani za Jiji hilo.
 Mwananchi akiwa ameshika nyundo na jembe alama muhimu ya Bendera ya CCM AMBAYOZO ZINAMAANISHA MKULIMA NA MFANYAKAZI
 JK akiongoza matembezi leo jijini mbeya
 Baadhi ya wanahabari wakiwa kazini katika wakati wa matembezi hayo.

 JK AKIWA NA WATOTO WAKATI WA MATEMBEZI HAYO
 Mmachinga naye akiwa miongoni mwa wananchi waliounga mkono matembezi hayo

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya wakiungana kwenye matembezi hayo eneo la Uwanja wa Sokoine

No comments:

Post a Comment