Saturday, July 5, 2014

KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA LEO


Rais Jakaya Kikwete, akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akipokewa na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akisaini kitabu cha wageni, huku akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.

No comments:

Post a Comment