Tuesday, July 15, 2014

MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI URUSI




Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi balozi Wynjones Kisamba, Ofisini kwake Migombani.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi balozi Wynjones Kisamba, Ofisini kwake Migombani. (Picha na Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment