
Waimbaji wa bendi ya msondo music wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Afri center Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Juma Katundu.(picha na Rajabu Mhamila Super D Mnyamwezi)

Wanamuziki wa bendi ya msondo music band wakiwajibika wakati wa onesho lao kushoto ni Zahoro Bagwe na Uluka Uvuruge( Super D Mnyamwezi)

SADI ALLY Mashine akikaanga Chipsi
No comments:
Post a Comment