Sunday, November 22, 2009

BUSTER AFANYA KWELI DAR

Wanamuziki wa Marekani wakiwajibika wakati wa onesho la Fiesta lililofanyika, Dar es salaam na kudhaminiwa na Kampuni ya Zain na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) kulia ni Busta Rhymes na Spliffstar.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment