
Baadhi ya wasanii wa kikundi cha Bongo Wookeez, wakicheza wakati wa Tamasha, lililowakutanisha shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam lililodhaminiwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuwaleta karibu na huduma mbalimbali za kampuni hiyo.(Picha na Rajabu Mhamila)

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilala, wakicheza wakati wa Tamasha, lililowakutanisha shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam juzi lililodhaminiwa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuwaleta karibu na huduma mbalimbali za kampuni hiyo.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment