Wednesday, November 25, 2009

MAREALE - KOMBE LA MACHIFU LIPO

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Marealle (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam kuhusu Mashindano ya Kombe la Chifu Marealle, kwa mwaka Huu yatakayozinduliwa rasmi mjini moshi mwanzoni mwa mwezi ujao sambamba na sherehe za Siku ya Uhuru kulia ni Meneja Matukio wa Kampuni hiyo. Carol Ndosi.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment