Friday, November 27, 2009

ZAIN WAZINDUA HUDUMA YA VIFUNGU VODOGOVIDOGO

Meneja Masoko wa Kampuni ya Zain, Bw. Costantine Magavilla
(kushoto) akionesha waandishi wa habari jinsi ya kujiunga na huduma
mpya ya Internet inayopatikana kwa urahisi yenye vifungu
vidogovidogo, kulia ni Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi.
Beactrice Mallya.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment