Kiasi cha Shilingi million kumi na nne kinahitajika kuendeshea mashindano ya klabu bigwa ya mpira wa mikono yatakayoanza February 22 hadi 27 mwaka huu jijini Dodoma Nicolaus Mihayo Katibu Mkuu wa chama cha Mpira wa Mikono Taifa TAHA, amesema mashindano hayo yanafanyika kila mwaka ambapo mwaka jana yalifanyika mwezi Februari katika jiji la Mwanza na timu ya Magereza Kiwira iliibuka kinara.
No comments:
Post a Comment