Tuesday, March 13, 2012

BENDI YA MSONDO NGOMA YENDELEA KUTOA BURUDANI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR


Msanii Mpya wa bendi ya Msondo ngoma, Shabani
Lendi (kushoto) akipuliza Saxphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika
jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani
Mngande na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D .(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Waimbaji
wa bendi ya Msondo ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika jumapili
katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hasani Moshi,Shabani
Dede,Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na mwimbaji Juma
Katundu.(Picha na
www.burudan.blogspot.com)BAADHI YA WAPENZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA WAKIONGOWA
NA MSEMAJI WA BENDI HIYO RAJABU MHAMILA SUPER D KULIA WAKILISAKATA LUMBA LA
MSONDO NGOMA
Msanii mpya wa bendi ya Msondo ngoma Shabani Lendi
Akifanya vitu vyake wakati wa Onesho Hili

No comments:

Post a Comment