Tuesday, March 13, 2012

JK AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAAM KUHUSU SULUHISHO LA MGOMO WA MADAKTARI

Rais Jakaya
Kikwete akihutubia katika mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuhusu suluhisho la mgomo wa madaktari. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Idd Simba.
Sehemu ya umati wa wazee
wa mkoa wa Dar es Salaam uliohudhuria mkuatano huo na JK
Mmoja wa Wazee wa Mkoa wa
Dar es Salaam, akiwa na ulepe wa usingizi wakati JK akizhutubia
Makamu wa Rais, Dk.
Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimpongeza Rais Jakaya Kikwete baada ya kumaliza
kuhutubia
JK na viongozi wengine
wakiondoka baada kumalizika kwa mkutano

JK akiongozana na Makamu wake,
Bilal kutoka nje baada ya kumalizika kwa mkutano

JK akiagana na baadhi ya wazee
wa Mkoa wa Dar es Salaam


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akijadiliana jambo na Dk. Bilal baada ya kumalizika kwa mkutano huo

No comments:

Post a Comment