Thursday, March 15, 2012

FREE MEDIA QUEENS KUTUPA KARATA NYINGINE KWA TBC MICHUANO YA NSSF CUP 2012


Hiki ndiyo kikosi cha Free Media Queens
kitakachoshuka dimbani Machi 15 majira ya saa kumi na nusi alasiri katika
viwanja vya TCC Chang'ombe.

Kikosi hiki kinaundwa na wachezaji
kama
Amana Nyembo (GK), huku
Clezencia Tryphone(C) ‘Tasha’ Efracia Masawe(GS), Hellen Ngoromela(WD), Vicky
Kombe(WA), Hellen Mwilu(GA) pamoja na Ratifa(GD)

Khadija Kalili (GS) a.k.a
Messi , Irene Mark, Asha Bani, Marietha Mkoka,
Wengine ni Efracia Masawe(GS), Hellen
Ngoromela(WD), Vicky Kombe(WA), Hellen Mwilu(GA) pamoja na
Ratifa(GD).

No comments:

Post a Comment