Thursday, March 15, 2012

TBC WAILAZA FREE MEDIA BOYS 8-0 KATIKA MICHUANO YA NSSS 2012

Kapteni na Mshambuliaji wa timu ya Free Media
Saleh Mohammed akiwania mpira leo katika viwanja vya DUCE hadi mpira unakwisha
TBC waliifunga bao 8-0
Mshambuliaji wa timu ya
Free Media Jimmy Ambrose, kulia akichuana na beki wa TBC Adam Ilomo.
Mshambuliaji wa Free
Media Sale Mohammed kulia akimiliki mpira mbele ya beki wa TBC Adam Ilomo.
Saleh Mohammed akimiliki
mpira jioni ya leo,

No comments:

Post a Comment