Thursday, March 15, 2012

JK AFUNGUA WARSHA YA MADAKTARI KINYWA/MENO NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati
Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile
akionesha kadi ya uanachama wa heshima ya chama hicho ambayo Rais Kikwete
akitunukiwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala
ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe
kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika
hoteli
ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU

No comments:

Post a Comment