Naibu Katibu Mtendaji tume ya mipango aapishwa ikulu
Naibu Katibu
Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili
kushoto anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu
kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimrekebisha koti Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus
Rutasitara muda mfupi baada ya kumuapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi
.Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal aliyehudhuria hafla hiyo(picha
na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment