
waziri wa Nchi Ofisi ya Makomu wa Rais akivuka Mtaro
wakati wa ukaguzi wa Ufugaji wa Samaki unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii TASAF huko Chambani katika Ushirika wa kwa Dawa Kichimba Chambani kisiwani
Pemba.

Bi Amina Khamis muuza nyanya Soko la mbogamboga
liliopo Furaha Wawi Akimpa Maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Mungano Samia Suluhu Hasani kuhusu hali ya biashara katika soko hilo lilojegwa
kwa ufadhili wa Tasaf Macemp.
(Picha na Ali
Meja)
No comments:
Post a Comment