Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, August 8, 2012

BAADA YA STEPS JANA LEO MSAMA PROMOTION yakamata mitambo na kazi feki za wasanii mjini dodoma.



Baada ya jana Kampuni ya Steps Entatainmenti ya jijini Dar es salaam kukamata kazi za wasanii leo Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).

No comments :

Post a Comment