Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, August 9, 2012

Rais Kikwete amwapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Wasajili



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amemwapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama pamoja na Msajili mkuu wa Mahakama na msajili wa mahakama ya rufani katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Walioapishwa leo ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga, Msajili Mkuu wa Mahakama, Bw. Ignus Paul Kitusi na Msajili wa Mahakama ya Rufani, Bw. Panterine Muliisa Kente. PICHANI: Mtendaji mkuu wa Mahakama, Bw. Hussein Katanga akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kushoto) pamoja na maofa waandamizi wa mahakama aliowaapisha leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.(Wapili kushoto) ni Mtendaji mkuu wa Mahakama, Bw. Hussein Katanga,(Wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama, Bw. Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani, Bw. Panterine Muliisa Kente. (picha na Freddy Maro)

No comments :

Post a Comment