Mpiga
Picha wa Global Richard Bukozi kushoto akikimbia sambamba na watuhumiwa
wa wizi wa milioni 140 kutoka kwa mwajili wao ambapo wao walikuwa
wafanyakazi wa ndani na kukutwa na hatia ya ubadilifu wa fedha hizo
katika kezi yao iliyowakabili na kuamliwa kwenda jela miaka mitatu na
kutaifishwa kwa nyumba zao walizojenga kutokana na wizi huo |
No comments:
Post a Comment