CUF YAFANYA MNADA PICHA YA MWENYEKITI
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bw. Julius Mtatiro
akikabidhi picha ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba
kwa viongozi wa CUF wilaya ya Kinondoni baada ya kuinunua sh. 320000 kwa
njia ya mnada uliofanyika Makao Makuu ya chama hicho Buguruni jana,
(Kulia) ni Kiongozi wa chama hicho Kinondoni Bw. Hamisi
Chogamawano,kushoto ni Diwani Viti Maaalum Wilaya ya Kinondoni Bi. Hilda
Mria (Picha na Peter Mwenda)
No comments :
Post a Comment