Sunday, March 3, 2013

CUF YAFANYA MNADA PICHA YA MWENYEKITI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bw. Julius Mtatiro akikabidhi picha ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kwa viongozi wa CUF wilaya ya Kinondoni baada ya kuinunua sh. 320000 kwa njia ya mnada uliofanyika Makao Makuu ya chama hicho Buguruni jana, (Kulia) ni Kiongozi wa chama hicho Kinondoni Bw. Hamisi Chogamawano,kushoto ni Diwani Viti Maaalum Wilaya ya Kinondoni Bi. Hilda Mria (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment