Friday, October 11, 2013

BODI YA UTALII TTB YAANDAA WARSHA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKAKATI WA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KIMATAIFA


Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Geofrey Meena akitoa maelezo mbele ya waandishi wa habari wakati akijibu maswali kwenye Warsha ya Mkakati wa kutangaza utalii wa Tanzania kimataifa iliyoandaliwa na Boodi hiyo na kuhudhuriwa na wahariri na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari pamoja na maafisa wa (TTB), Warsha hiyo imefanyika leo kwenye hoteli ya New Africa leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) na kushoto ni Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa (Tourism Confederation of Tanzania), (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NEW AFRICA HOTEL)
1 
Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB) akitoa utambulisho wa mada zenyewe na malengo ya Warsha hiyo. 6 
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika warsha hiyo 7 
Lilian Timbuka Mwandishi mwandamizi kutoka Gazeti la Uhuru akiuliza swali katika warsha hiyo. 8 
Baadhi ya maofisa kutoka Bodi ya Utalii (TTB) wakiwa katika warsha hiyo. 9 

No comments:

Post a Comment