Tuesday, December 10, 2013

Taswira Maalum Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais wa kwanza wa Arika ya Kusini Mzee Nelson Mandela enzi za uhai wake



 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais wa kwanza wa Arika ya Kusini Mzee Nelson Mandela enzi za uhai wake wakati walimpomtembelea kwenye ofisi ya Taasisi yake jijini Johanesburg tarehe 12 Julai mwaka 2006. Rais Kikwete jana aliondoka kwwneda Afrika ya kusini kuungana na viongozi wengine kwenye ibada ya mazishi ya mzee Mandela.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment