Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys Jumatatu 31, Agosti 2009 watacheza na timu ya taifa ya vijana ya Sudan kuwania nafasi ya tatu ya michuano ya Chalenji.
Serengeti Boys imefikia hatua hiyo baada ya kufungwa katika mchezo wa nusu fainali na Uganda siku ya Ijumaa kwa kufungwa jumla ya magoli 5-3 kwa mikwaju ya Penati baada ya kumaliza dakika 120 huku wakiwa wamefungana 1-1.
DAKTARI BINGWA WA USINGIZI MUHIMBILI ZHANG JUNQIAO AFARIKI DUNIA
-
Na Malisa GJ
Tumempoteza daktari Bingwa wa dawa za usingizi Hospitali ya Taifa
Muhimbili. Dkt.Zhang Junqiao (38) amefariki juzi tarehe 15 Juni 2025 huko...
3 hours ago
No comments :
Post a Comment