Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.
BALOZI NCHIMBI ATETA NA MWANAHABARI MKONGWE NCHINI KIBANDA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi
akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la
Waha...
18 hours ago
No comments :
Post a Comment