Bondia Iddi Bonge kushoto
akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa
ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A
Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na
Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku
ya jumamosi picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto
akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar
es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wa uzito wa juu wamepima
uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa mabondia hawo ni
Iddi Bonge na Alphonce mchumiatumba ambao watapanda uringoni siku ya feb
14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba kwa ajili ya kumaliza ubishi
ambao umetanda mitaani ni nani bingwa
wa uzito wa juu nchini ambapo kwa mda mrefu akuna bingwa wa uzito huo
katika upimaji wa uziti zilizogubikwa na tambo mbalimbali za mashabiki
waliojazana kushidia upimaji wa uzito
mpambano huo wa raundi kumi
utakuwa ni
wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi
ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Alidi manjee
atakabiliana na bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika ulimwengu wa
masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka
atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma
fundi atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga'
atapambana na Mohamed Kashinde
Manyoka aliongeza kwa kusema kuwa siku
hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo ambapo
amesha wasiliana na walinzi mbalimbali
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . -- Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania