Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Shafii Liumbo mkazi wa Mtoni Mtongani Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua LUKU kwa Wakala
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Bonface Richard wa Banana Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua
LUKU kwa Wakala
WASHINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
WASHINDI WALIO PATIKANA |