Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, October 17, 2015

MABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI





Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili hii katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS

Bondia Yonas Segu kushoto akitunishiana misuli na Idi Pialali mara baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS
Bondia Ismail Ndende kushoto akitambiana na Mwinyi Mzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumapili Picha na SUPERD BOXING NEWS

BONDIA VICENT MBILINYI AMPIGIA MIKWALA DEO NJIKU KUPAMBANA DESEMBA 25



BONDIA VICENT MBILINYI


Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi amesaini mkataba wa kuzipiga na Deo Njiku wa Morogoro siku ya Desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri morogo wakisindikiza mpambano wa Fransic Cheka na Thomasi Mashali mpambano uho wa raundi sita

utakuwa wa kwanza kwa bondia Mbilinyi kucheza mkoa wa morogoro akizungumzia mpambano huo bondia huyo amesema kuwa anamjua mpinzani wake vizuri kutokana na ukongwe wake kwa kuwa alianza zamani kupigana ata hivyo mimi nina jiamini na nitamkalisha katika raundi za awali

bondia huyo alieweka kambi yake mkoa wa pwani maeneo ya Kibaha ambapo ameweka kambi yake kwa ajili ya mpambano huo
bondia huyo anaefundishwa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi ncini Rajabu Mhamila 'Super D' amejizatiti kumtwanga vizuri tu Deo njiku ili ajisafishie njia ya kuwa bingwa wa mchezo wa masumbwinchini
nae Kocha wake Rajabu Mhamila 'Super D;' aliongeza kwa kusema kuwa ana matumaini na bondia wake kwa kuwa na rekodi nzuri ya mchezo ambapo mpaka sasa amecheza michezo 7 kashinda 5 droo 1 na kupoteza 1 kwa rekodi hiyo bondia huyo ana uchu wa kubaki kileleni na kuendeleza kichapo kwa kila bondia anaekutana nae

RAJABU MHAMILA SUPER D KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NA MUZAJI WA VIFAA VYA NGUMI



RAJABU MHAMILA SUPER D KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI MUZAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI MSAMBAZAJI WA DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NDONDI AMBAYE ANAJISHUGHULISHA NA UZAJI WA VIFAA VYA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO YA NGUMI NA MAZOEZI YA AINA MBALI MBALI ANAPATIKANA KARIAKOO UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM TANZANIA MAWASILIANO 0787406938 NA 0754406938

RAJABU MHAMILA SUPER D

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA SUPER D

RAJABU MHAMILA SUPER D KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI MUZAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI MSAMBAZAJI WA DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NDONDI


RAJABU MHAMILA SUPER D KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI MUZAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI MSAMBAZAJI WA DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NDONDI PIA NI MWANA HARAKATI WA MICHEZO



RAJABU MHAMILA SUPER D KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI MUZAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI MSAMBAZAJI WA DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NDONDI

BONDIA SEBA TEMA ASAINI KUZIPIGA NA PIUS KAZAULA DESEMBA 25 MOROGORO



Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akimkabidhi mkataba bondia Seba Temba baada ya kutia saini ya makubaliano ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini katika mkataba wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini katika mkataba wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS


RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

Monday, October 5, 2015

CAPELABY JOGGING WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA


Wanachama wa kikundi cha Capelaby Jogging wakiwa na watoto wa kituo cha watoto yatima cha Valentine Chiden Home kilichopo njia panda ya buza kitunda Dar es salaam

Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda Dar es salaam kulia ni Ester Damian pamoja na Nuru Edward

Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda Dar es salaam kwa mlezi wa kituo hicho Sister Janeth Cuthert jana
Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda Dar es salaam kwa mlezi wa kituo hicho Lucy Lipenga Jana
Wanachama wa kikundi cha Capelaby Jogging wakiwa na watoto wa kituo cha watoto yatima cha Valentine Chiden Home kilichopo njia panda ya buza kitunda Dar es salaam

BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WA DESEMBA 25


Bondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde na kocha Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi Ilala

Bondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde na kocha Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi Ilala