BONDIA Seba Temba wa kg 66 kutoka mkoa wa Morogoro anatarajia kupanda ulingoni march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo kupambana na mkali wa mkoa huo wa Pwani Iddi Pialali mpambano uho ambao umeandaliwa na Muhsin Sharif
promota huyo alisema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine mengi ya mchezo wa ngumi likiwemo la wanawake Joyce Awino kg 64 na Mariam Tembo na Abdallah Pazi kg 76 atakumbana na Georger Dimoso na Flank Lampad kg 69 atavaana na Mwaite Juma wakati bondia kutoka mkoa wa Tanga Jacobo Mganga kg 72
atapambana na Maono Ally
mpambano uho ni rasmi kabisa kwa ajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa Bagamoyo mkoa wa Pwani pamoja na vitongoji vyake ambao walikuwa wakisubili burudani hiyo ya mchezo wa masumbwi nchini
nae bondia Seba Temba amejinasibu kwa kujigamba lazima amlaze Iddi Pialali na ndio itakayokuwa njia yake ya mazoezi kabla ya kupambana na bondia Pius Kazaula mpambano utakaofanyika march 27 katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya sikukuu ya Pasaka
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua
sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile