Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, May 29, 2015

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS


Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli

BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO

Friday, May 22, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI



Bondia Raymond Mbwago kutoka katika Super d Boxing Clab ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala kulia niu msimamizi kutoka katika kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katikas ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi TPBC Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ramadhani Maonya kutoka Super D Boxing Clab iliyopo Shule ya Uhuru Kariakoo akipim uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam kulia ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msimamizi wa marefarii wa mchezo wa masumbwi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari kushoto akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia Ramadhani Maonya kulia na Bilali Ngonyani katikati Picha na SUPER D BOXING NEWS

Msimamizi wa Marefarii kutoka Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini TPBC Ally Bakari kulia akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia waliojitokeza katika kupima kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa pandi panandi ilala bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS

Tuesday, May 19, 2015

SELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA NJIA YA MTANDAO


 


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya NHC. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha risiti za malipo ya pango za nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa malipo kwa njia ya mtandao wa Selcom

SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI




Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23    katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS 
Na Mwandishi Wetu 
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tpbc kwa kushirikiana na Kinyogoli foundation inawatangazia mabondia wanaotaka kuingia ngumi za kulipwa mei 23 katika ukumbi wa panandi panandi zitafanyika ngumi  za (semi profession) zitakazoshirikisha mabondia chipkizi kutoka club mbali mbali nchini

ambapo upimaji wa uzito utafanyika hapo hapo mei 22 Rais wa TBPC Chaurembo Palasa ametoa wito wa mabondia kujitokeza kwa ajili ya kuonesha uwezo wao na kupagwa katika madaraja mbalimbali ya viwango vyao.

aliongeza kwa kusema wanaitaji wafadhili wajitokeze kwa ajili ya kuwasapoti vijana hawo chipkizi kwa njia moja au nyingine

Club ya Super D iliyopo shule ya uhuru Dar es salaam imeteuwa mabondia watatu watakaoshiliki katika mashindano hayo wakiongozwa na Raymond Mbwago kg 64 na Hyasam Mwakinyo KG 66 pamoja na Ramadhani Maonya KG 51 mabondia hawo wote kutoka club ya Super D inayo ngozwa na kocha Mohamed Chipota iliyopo Katika shule ya Uhuru

BONDIA ADAM NGANGE WA CHANIKA AMSAMBALATISHA IDDI PIALALI WA BAGAMOYO






 Mabondia Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam kushoto  na Iddi Pialali wa Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano huo wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS
 Bondia Adam Ngange kushoto wa Chanika akimrushia konde la kulia bondia Iddi Pialala wa Bagamoyo wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa chuo cha sanaa bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS
Bondia Iddi Pialali wa Bagamoyo akimtupia makonde mfululizo bondia Adam Ngange wa Chanika wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita  katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam amemsambalatika Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo kwa point katika mpambano wao mkali wa raundi sita

uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA ambapo kulikuwa na shamla shamla za kutosha kwa upande wa Pialali

ukumbi ulifulika watu mbalimbali na mashabiki wa kutosha kabisa mpambambano ulivyo anza 

ngumi zilianza kupigwa kwa Pialali kwa kumshambulia sana Ngange mnamo raundi za mwanzo rakini kadri mpambano ulivyokuwa unasonga mbele na raundi kuzidi kwenda mbele

ndipo Ngange akazinduka na kuanza nae kumshambulia kwa kasi zaidi ambapo mpaka kufika raundi ya sita

raundi ambayo ilitawaliwa na ngange kupiga ngumi za misri ya paka anavyopiga kibao na kurudisha mkono alipo utoa mpaka raundi ya mwisho ya mchezo Ngange alikuwa mshindi kwa point mbili zaidi ya Pialali akika lilikuwa pambano zuri ambalo lilikusanya mashabiki wengi wa mkoa wa Pwani na Dar es salaam 

mpambano uho ulileta raha zaidi baada ya kudhuliwa na mabondia mbalimbali nchini wakiongozwa na Japhert Kaseba,Thomas Mashali. Said Mbelwa. Shabani Kaoneka na Ibrahimu Tamba mabondia ambao wanatamba kwa sasa nchini Tanzani
a

Tuesday, April 14, 2015

SELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM


 

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bi.Winfrida Shoo mkazi wa sinza Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua muda wa maongezi kupitia Advans Bank Mobile banking

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Khalid Kasim mkazi wa mbagala  Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi alinunua LUKU kwa wakala wa Selcom

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Shafii Liumbo mkazi wa Mtoni Mtongani Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua LUKU kwa Wakala
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Bonface Richard wa Banana Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua
 LUKU kwa Wakala
WASHINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

WASHINDI WALIO PATIKANA 

ZIARA YA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NDANI YA MJI WA MOROGORO

ZIARA YA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NDANI YA MJI WA MOROGORO


MEYA JERRY SLAA AIZAWADIA PIKIPIKI TIMU GONGO LA MBOTO


Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.[/caption] [caption id="attachment_56562" align="aligncenter" width="734"]Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki timu ya Mazombi FC lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa.[/caption] [caption id="attachment_56571" align="aligncenter" width="800"]Mwakilishi wa Timu ya Vijana Jogging Club akipokea zawadi ya fedha baada ya kuibuka washindi wa tatu katika Luta CUP Gongo la Mboto.Mwakilishi wa Timu ya Vijana Jogging Club akipokea zawadi ya fedha baada ya kuibuka washindi wa tatu katika Luta CUP Gongo la Mboto.[/caption] [caption id="attachment_56567" align="aligncenter" width="800"]Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (wa pili kulia) akizungumza kabla ya kuanza kwa mtanange huo kati ya Timu ya Mazombi FC na Sobibo FC.Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (wa pili kulia) akizungumza kabla ya kuanza kwa mtanange huo kati ya Timu ya Mazombi FC na Sobibo FC.[/caption] [caption id="attachment_56570" align="aligncenter" width="751"]Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.[/caption] [caption id="attachment_56570" align="aligncenter" width="751"]Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.Washindi wa nne wakipokea haki yao pia.[/caption] [caption id="attachment_56569" align="aligncenter" width="800"]

Tuesday, March 31, 2015

WATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU



Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh,100,000 ambapo washindi kumi watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei 31 kulia ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus Runyeta
Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi
 wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei 31 katikati ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus Runyeta na Meneja wa huduma za Ziada 'VAS', Chia Ngahyoma


 Meneja Miradi wa Kampuni ya Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekeza Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa kampuni hiyo, Juma Mgori jinsi shindano linavyo endelea katika mtandao



WASHINDI KUMI KILA WIKI

AIRTEL YAKARABATI DARASA SHULE YA MSINGI USHINDI


 


Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), akizungumza kabla ya kukabidhi Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni Mwenyekiti wa Shule hiyo, Jumanne Konara na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Elias Katunzi, Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), akimkabidhi Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Mikocheni ‘B’, Suleiman Sagong’o, Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni Mwenyekiti wa Shule hiyo, Jumanne Konara na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Elias Katunzi, Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akifungua mlango wa  Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka kushoto) ni Mwenyekiti wa Shule hiyo, Jumanne Konara, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Elias Katunzi, Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Mikocheni ‘B’, Suleiman Sagong’o na baadhi ya wafanyakazi wa Airtel.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akiwasalimia watoto baada ya kukabidhi Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (mwenye miwani), na Afisa Mwandamizi wa Kitengo cha Biashara za Mashirika, Delfina Martin (mbele kulia), wakiwa wamekaa na watoto baada ya kukabidhi Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana.


Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel Tanzania, wakigawa zawadi kwa watoto baada ya kukabidhi Darasa la Chekechea lililokarabatiwa kwa udhamini wa Wafanyakazi wa Airtel, kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Ushindi iliyopo Mikocheni ‘B’, jijini Dar es Salaam jana.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
DAR ES SALAAM

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa “Airtel Tunakujali”  wakishirikiana na wafanyakazi wa kitengo cha Airtel Biashara za Mashirika ameendeleza dhamira ya kusaidia jamii kwa kukarabati darasa la chekechea katika shule ya msingi Ushindi iliyopo jijini Dar Es Salaam. Leo Airtel imebadili mtazamo wa darasa hilo kwa kuwa jengo la kisasa na kuwapatia vitendea kazi  ikiwemo madawati na  michezo mbalimbali kwa ajili ya watoto hao.

Shule ya Msingi Ushindi imekuwa miongoni mwa shule hapa nchini zilizoweza kuingia katika mfuko wa mradi wa  “Airtel Tunakujali” ili kuboresha kiwango cha elimu hapa nchini. Baadhi ya shule ambazo zilishaweza kuingia  katika mradi huo ni Kumbukumbu Shule ya Msingi iliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam na shule ya Msingi Pongwe mjini Tanga. Lengo la mpango huu ni kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu mashuleni,kuwapataia wanafunzi elimu bora, kuhamasisha mahudhurio mazuri ya wanafunzi mashuleni na kunyanyua kiwango cha mfumo wa elimu katika katika taasisi hii.
Akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhiano  , Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso alisema, "Kutokana na dhamira ya Airtel tunafuraha kubwa sana kupata nafasi hii na kuwa ni wa moja wa makampuni yaliyopata nafasi ya kujenga mazingira bora na imara katika sekta ya elimu.  Leo hii tunakabidhi darasa zuri na la kisasa lenye Uwezo wa kukidhi idadi kubwa ya wanafunzi., hii itasaidia kupunguza shida iliyopo na kufanya mazingira ya kusomea kwa wanafunzi wengi kuwa rafiki. Tunaamini kwamba ubora wa elimu ni muhimu zaidi katika karne hii kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi hapa Tanzania. Sisi pia tunatambua changamoto nyingi katika ngazi zote za sekta hii muhimu.

Aliongeza " kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi hawa ni kuchochea uelewa  na kuinua maisha yao ya hapo baadae. "Bila shaka, ubora wa elimu unawapa watoto nafasi bora katika maisha kutambua ndoto zao na kuwa viongozi bora wa kesho. Colaso aliendelea akisema, “anawaomba walimu na wanafunzi wa Ushindi watunze  rasilimali iliyotolewa kwao ili viweze kutumika na watoto wengine watakaokuja hapo baadae”.
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi  ya Ushindi Elias Katunzi akitoa shukrani zake kwa Airtel alisema ,”kwa niaba ya walimu, wazazi na wanafunzi wa shule ya msingi ya Ushindi napenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa kuweza kututengenezea  darasa lililobora na imara . 

Ningependa kuwashukuru Airtel kwa yote waliyotufanyia kwa ajili ya shule hii. Kutokana na msaada huu tuanaamini kabisa idadi ya watoto itaongezeka kwani kwa sasa tunawatoto wapatao 50 wa chekechea.Tunaamini kwamba idadi ya watoto itaongezeka na wazazi watapata moyo zaidi wa  kuwaandikisha watoto wao hapa shuleni. Tunatarajia uandikishaji utaongezeka katika kipindi kitakachofwata "alibainisha Katunzi.

Mwalimu mkuu akaongeza pia kuwa anafurahi kwamba Airtel wameweza kuwasaidia katika tatizo hilo la ukarabati wa jengo na kuziomba taasisi  nyingine kuchangia sekta ya elimu katika shule mbalimbali kwani matatizo yanafanana nchini kote.

Tuesday, March 24, 2015

BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA AWASILI KUMKABILI MUDY MATUMLA IJUMAA


Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa na kulia ni promota wa mpambano uho Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Wang Xin Hua kutoka China akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa

bondia Wang Xin Hua kutoka Chinabondia Wang Xin Hua kutoka China
Bondia Wang Xin Hua kutoka China akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Matumla utakaopigwa March 27 katika ukumbi wa Diamond jubilee kulia ni promota wa mpambano uho Jay Msangi