Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, July 9, 2016

BONDIA ID MKWELA AMSAMBALATISHA NASSORO MADIMBA KWA K,O YA RAUNDI YA PILI BAGAMOYO MKOA WA PWANI NAKULETA SHANGWE KWA KOCHA WAKE SUPER D

Bondia Idd Mkwela kushoto akipambana na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS

Refarii Said Chaku akimwesabia bondia Nassoro Madimba baada ya kupokea konde kutoka kwa Idd Mkwela na kwenda chini na ndio ikawa mwisho wa mchezo uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kulia akimshambulia bondia Nassoro Madimba wakati wa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya pili Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Nassoro Madimba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,o ya raundi ya pili Pichas na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA IDD MKWELA BAADA YA KUSHINDA MPAMBANO WAKE

MASHABIKI WA IDD MKWELA WAKIMPONGEZA
BONDIA IDD MKWELA AKIWA AMEBEBWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUSHINDA KWA K,O
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KUSHOTO AKIWA NA MABONDIA WAKE BAGAMOYO KATIKA MOJA YA KAZI ZAKE KATIKATI NI IDD MKWELA NA VICENT MBILINYI         

SUPER D SUPER COACH AKIWA NA TEAM YAKE
IDD MKWELA KUSHOTO AKIWA NA RAJABU MHAMILA SUPER D SUPER COACH

Friday, July 8, 2016

BONDIA IDD MKWELA KUPAMBANA LEO BAGAMOYO NA NASSORO MADIBA

Bondia idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Nassoro Madiba baada ya kupima uzito leo bagamoyo mkoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd MKwela akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Nassoro Madiba Bagamoyo mkoa wa pwani

BONDIA IDD MKWELA TEAM SUPER D CAACH UHURU GYM AKIWA BAGAMOYO MKOA WA PWANI

BONDIA IDD MKWELA TEAM SUPER D CAACH UHURU GYM AKIWA BAGAMOYO MKOA WA PWANI KULIA NI SAID TOMPOO

BONDIA IDD MKWELA TEAM SUPER D CAACH UHURU GYM AKIWA BAGAMOYO MKOA WA PWANI KULIA NI SAID TOMPOO

BONDIA IDD MKWELA TEAM SUPER D CAACH UHURU GYM AKIWA BAGAMOYO MKOA WA PWANI KULIA NI SAID TOMPOO

Thursday, July 7, 2016

BONDIA IDD MKWELA KUTOKA KWA 'SUPER D COACH' AJIFUA KUMKABILI HUSSEIN GOBOS JULAI 16 MAGOMENI

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa maumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnoa bondia Idd Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basketi Uhuru Kariakoo kulia ni bondia Vicent Mbilinyi Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa maumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza  bondia Idd Mkwela jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'UPCUT' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basketi Uhuru Kariakoo kulia ni bondia Vicent Mbilinyi Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa julai 16 kupambana na Hussein Goboss Traveltain Hotel  Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibramu Class wakati wa mazoezi kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA chipkizi  Idd Mkwela kutoka kwa  'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo yupo katikamazoezi makali ya kujiandaa kupambana na bondia Hussein Gobbos siku ya julai 16 katika ukumbi wa Traveltain Hotel Magomeni

akizungumza wakati wa mazoezi yake Mkwela amesema kuwa kwa sasa nipo vizuri sana kwa ajili ya mpambano wowote ule kwa kuwa najiamini na ninajitambua sana katika mchezo uhu wa masumbwi nchini na nina uzoefu mkubwa ingawa nina michezo michache niliyocheza nchini

ata hivyo kwa sasa nimerudi kwa kocha wangu ambayetuli asiana kwa kipindi cha takribani miaka mitatu kwa ajili ya maisha ya hapa na pale na sasa nipo na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

ambapo nafanya mazoezi kwake kwa mda mrefu na tayali kuna kazi nyigi tumeshafanya nae  na nategemea sito mwangusha kwapi pale kwa'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo

kuna mabondia wengi ambao wanatamba kwa sasa akiwemo Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Vicent Mbilinyi, Lulu Kayage mabondia hawo wamefanya vizuri kupitia Super D ata ukiangalia mapambano yao ya mwanzo mwanzo kutoka nje ya nchi wote wamefanya vizuri

hivyo nimeungana nao na ninatarajia mpambano wangu unaokuja nita msambalatisha viaya Hussein Gobos  ili akanitangaze vizuri kwa wenzie kuwa mimi ni mtu  mbaya katika mchezo wa ngumi nikiwepo uringoni

nae kocha wa Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kwamba bondia wake huyo yupo fiti kukabiliana na bondia yoyote ambao kwa sasa sio bondia huyu aliyejipendekeza kupambana na Mkwela kwani huyo kama vile wamemtoa sadaka atapata kipondo cha mbwa mwizi Mkwela anafikilia kupigana na mabondia wengine kabisa huyu ajawa mawazoni mwake kabisa hivyo pale tuta pita kama njia kuwafata wale mabondia vigogo wakiwemo

Twaha Kiduku,jonas Segu, Mfaume Mfaume, Ramadhani Shauli,Cosmas Cheka

ndio taipu zake huyu kajipendekeza mwenyewe hivyo atakwenda na maji mara moja na atapigwa k,o mbaya sana na sizani kama atafika raundi ya pili katika mchezo wa raundi sita utakaofanyika julai 16 magomeni

KATIBA YA KUONGOZA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI YAPATIKANA

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ustadhi' kushoto na Rais wa TPBC Chaurembo Palasa wakionesa katiba ya Tanzania Boxing Authority TBA mbele ya wahandishi wa habari mara baada ya kukamilika katiba hiyo itakayotmika na vyama vyote vya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Pichana SUPER D BOXING NEWS

WAZIRI MKUU AONGOZA SWALA YA EID EL FITR JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum alipowasili katika Swala ya Eid el Fitr iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum akitoa hotuba yake wakati wa Swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry akitoa mawaidha wakati wa swala ya Eid El Fitr.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotoba yake wakati wa Swala ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotoba yake wakati wa Swala ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika Swala ya Eid El Fitr.
Kijana wa Kiislamu akikusanya sadaka wakati wa swala ya Eid.
Waumini wakiwa katika swala.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati), akiongoza swala ya Eid El Fitr.
Waumini wakiswali swala ya Eid.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum wakati wa Swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

IDD MKWELA ATAMBA KUKAA KILELENI CHA NGUMI KUPITIA UZITO WAKE

BONDIA IDD MKWELA KG 63
BONDIA IDD MKWELA KG 63 KUTOKA KWA SUPER D BOXING COACH AND POMOTION

IDD MKWELA

IDD MKWELA

IDD MKWELA KG 63        

BONDIA IDD MKWELA KG 63 KUTOKA WA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION KAZI AZI UHURU GYM MAZOEZI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAMOSI SAA KUMI NA NUSU MPAKA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU ZAIDI WASILIANA NASI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO WA MASUMBWI PAMOJA NA MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI SIU NAMBA 0787-406938 AU 0713-406938