Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro
Ambassador litakalofanyika julay 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort
mkoa wa Moshi wakiwa katika pozi wakati wa utambulisho wa mashindano
hayo
| Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika julay 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwa katika pozi wakati wa utambulisho wa mashindano hayo |
Mlatibu wa mashindano ya urembo ya Kilimanjaro Ambassador Jacqueline Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchuano huo utakaofanyika katika ukumb wa Kili Home Resort
No comments :
Post a Comment