Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji |
Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Habibu Pengo kushoto na Yonas Segu |
Bondia Mwanne Hhaji akipimwa Afya na Dokta Mmixchael Midadi |
Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji
No comments :
Post a Comment