
bondia huyo mwenye historia ya kucheza
machezo mzuri wa masumbwi misri ya mfalme wa ngumi duniani Mohamed Ali
amekuwa kivutio kikubwa nchini ambapo mashabiki wengi wamekuwa
wakimulizia kuwa anacheza lini hata hivyo jibu limepatikana kuwa
anacheza agost 22 katika viwanja vya shule ya Uhuru wasichana
katika mpambano uho watasindikizwa na
bondia machachali anaechipukia kwa sasa Vicent Mbilinyi atakayemenyana
na Kelvin Majiba wakati Raymond Mbwago atacheza na Roger Masawe wakati
Husein Pendeza atamalizana ubishi na Shomari Mirundi mipambano yote hiyo
ni ya raundi sita
Lengo kubwa la mchezo huo ni
kumpongeza Lulu Kayage bondia pekee wa kike katika ngumi za kulipwa
aliyethubutu kuonesha uwezo wake akiwa ugenini na kumpiga kwa T.K.O ya
raundi ya pili bondia wa Afrika ya kusini Lizbeth Sivhaga na ndie atakaekuwa mgeni wa heshima katika mapambano hayo
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua
sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments :
Post a Comment