Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, September 30, 2016

MABONDIA KUPIMA UZITO KESHO JUMAMOSI KWA AJILI YA MPAMBANO WAO WA OCTOBER 2 KIMARA KOROGWE

Na Mwandishi Wetu

BABONDIA mbalimbali watakaozipiga siku ya jumapili ya October 2 katika ukumbi wa White House Bar Kimara Korogwe watapima uzito pamoja na Afya zao kesho jumamosi katika ukumbi uho kwa ajili ya kuzipiga siku inayo fuata

akizungumzia mpambano uho kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia wote watapia uzito pamoja na Faya Zao siku ya jumamosi

aliwataja baadhi ya mabondia watakaozipiga na kesho watapima uzito ni Said Chino atakaezitwanga na haidar Mchanjo uzito wa kg 57 raundi sita wakati Abdallah Ruwanje atavaana na Shedrack Ignas mpambano wa raundi sita la uzito wa kg 63wakati bondia mkongwe kabisa katika mchezo wa masumbwi nchini Mustafa Doto atazipiga na bondia chipkizi Manyi Issa katika uzito wa kg 61 raundi sita

mipambano mingine itawakutanisha mabondia Mohamed Muhunzi atakaepambana na Kassim Ahmad na Hashimu Chisora atazipiga na Rojas Masam uzito wa kg 61 na Julias Jackson atapambana na Emilio Norfat mpambano wa raund 4 uzito wa kg 61  na Ellsame Mbwambo atazipiga na Emanuel Kisawani mpambano wa raundi 4 uzito wa kg 61

siku hiyo pia kutakuwa na elimu ya ujasiliamali kwa vijana wa mchezo wa masumbwi pamoja na kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kujikwamuwa na uchumi 

Mgeni rasmi katika mpambano uho atakuwa
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
 
Katika Mchezo huo kutakua na Uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

MABONDIA DEO SAMWELI NA FABIAN LYMO WASAINI KUZIPIGA NOVEMBA MOSI MANZESE

MABONDIA DEO SAMWELI NA FABIAN LYMO WASAINI KUZIPIGA NOVEMBA MOSI MANZESE

Mabondia Deo Samweli kushoto na Fabian Lymo wakitunishiana misuli mbele ya promota wao Hassan Magole baada ya kuwasainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Fabian Lymo kushoto na Deo Samweli 
  wakitunishiana misuli 
baada ya kusainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa kulia akishudia bondia Deo Samweli akitia saini kuzipiga na Fabian Lymo novemba mosi kushoto ni  promota wao Hassan Magole
Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa kulia akishudia bondia Fabian Lymo akitia saini kuzipiga na Deo Samweli novemba mosi kushoto ni  promota wao Hassan Magole

Mabondia Deo Samweli kushoto na Fabian Lymo wakitunishiana misuli mbele ya promota wao Hassan Magole baada ya kuwasainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Deo Samweli kushoto na Fabian Lymo wakitunishiana misuli mbele ya promota wao Hassan Magole baada ya kuwasainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Thursday, September 15, 2016

BONDIA IDDI MKWELA ASAINI KUZIPIGA NA ISSA NAMPEPECHE OCTOBER 23 MWANANYAMALA

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mghamila 'Super D' kushoto akisaini mkataba wa bondia Iddi Mkwela wa pili kushoto ambaye atazipiga october 23 na Issa Nampepecha kulia katika ukumbi wa CCM mwijuma Mwananamala katikati ni Ibrahimu Kamwe 'Bigryth' ambaye ni mlatibu wa mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Iddi Mkwela kushoto akitambiana na Issa Nampepeche mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Octobe 23 katika ukumbi wa CCM MWIJUMA Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia Iddi Mkwela wa Pili kushoto Issa Nampepeche pamoja na Ibrahimu Kamwe mabondia hao wamesaini kuzipiga october 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA IDDI MKWELA AKISAINI MKATABA
ISSA NAMPEPECHE AKISAINI MKATABA
Bondia Iddi Mkwela kushoto akitambiana na Issa Nampepeche mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Octobe 23 katika ukumbi wa CCM MWIJUMA Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA IDDI Mkwela amesaini mkataba wa kuzipiga na Issa Nampepecha mpambano wa raundi kumi siku ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma mpambambano wa raundi kumi uzito wa KG 61

Mpambano uho ulio ratibiwa na Ibrahimu Kamwe utawakutanisha mabondia vijana ambao ni wadogo sana katika mchezo wa masumbwi nchini na watazipiga raundi kumi siku hiyo

pia kutakuwepo na mapambano mbalimbali ya utangulizi siku hiyo

akiongea wakati wa utiaji saini mkataba uho bondia Mkwela amesema amejipanga vizuri kumpiga Nampepeche kwani atojali kuwa na bifu na watu mbalimbali ili mradi aeze kuibuka na ushindi wa nguvu siku hiyo

nae Nampepeche amesema kuwa anaendelea na mazoezi kama kawaida ivyo mashabiki wake wategemee ushindi tu kwani siku hiyo atakuwa uwanja wa nyumbani na atokuwa na msalia mtume

Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

MABONDIA MANYI ISSA NA MUSTAFA DOTTO KUONESHANA UMWAMBA OTCOBER 2 KIMARA

Mabondia Manyi Issa kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Mustafa Dotto October 2 katika ukumbi wa white house kimara koroge Picha na SUPER D BOXING NEWS

MUSTAFA DOTTO
Na Mwandishi Wetu

MABONDIA MBALIMBALI KUZIPIGA October 2 katika ukumbi wa White House Kimara Korogwe mabondia hawo ni Manyi Issa atakaezipiga na bondia mkongwe na mzoefu Mustafa Dotto katika uzito wa kg 61 na mpambano mwingine utawakutanisha maasimu Shedrack Ignas atakae zipiga na Abdalla Ruwanje  katika uzito wa kg 63 mpambano wa raundi sita

Mapambano hayo yameratibiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya masumbwi yatakayo kuwepo siku hiyo

mapambano mengine yatawakutanisha mabondia Emanuel Kisawani atakaezipiga na Ellsame Mbwambo katika uzito wa kg 61 wakati bondia Mohamed Muhunzi atapambana na Kassim Ahmad mpambano wa raundi nne KG 56 bondia machachali anaekuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi nchini Saidi Chino atazipiga na Haidali Mchanjo mpambano unao subiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa mchezo uhu wa masumbwi na ndio pambano litakalo beba michezo yote ya siku hiyo
Mabondia wengine watakao zichapa siku hiyo ni Athumani Yanga atakae oneshana ubabe na Hashimu Chisora katika uzito wa KG 61 wakati Karim Migea atavaana na Bright Nazad katika uzito wa kilo gram 61 na mpambano mwingine utawakutanisha Julias Jackson atakae vaana na Emilio Norfat mpambano wa raundi sita