|
Mabondia Deo Samweli kushoto na Fabian Lymo wakitunishiana misuli mbele ya promota wao Hassan Magole baada ya kuwasainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
|
Mabondia Fabian Lymo kushoto na Deo Samweli wakitunishiana misuli baada ya kusainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
|
|
|
Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa kulia akishudia bondia Deo Samweli akitia saini kuzipiga na Fabian Lymo novemba mosi kushoto ni promota wao Hassan Magole |
Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa kulia akishudia bondia Fabian Lymo akitia saini kuzipiga na Deo Samweli novemba mosi kushoto ni promota wao Hassan Magole
Mabondia Deo Samweli kushoto na Fabian Lymo wakitunishiana misuli mbele ya promota wao Hassan Magole baada ya kuwasainisha mpambano wa raundi kumi utakaofanyika Novemba mosi katika ukumbi wa kobelo Pub Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments :
Post a Comment