Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, December 16, 2017

MABONDIA KIVU MAWE NA JACOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA DESEMBA 31 TAIFA


Mabondia Kivu Abdi 'Kivu Mawe' kushoto akitunishiana misuli na Jacobo Maganga baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga desemba 31 katika uwanja wa ndani wa Taifa utakuwa ni mpambano wa kufunga mwaka na kufungulia mwaka Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakiangaliana kwa usomgo baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Desemba 31 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakiangaliana kwa usomgo baada ya kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Desemba 31 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni promota Dotto Texas Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Desemba 31 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Kivi Adbdi akisaini mkataba wa kuzipiga na Jacobo Maganga mbele ya Promota Dotto Tesax kulia

Bondia Jacobo Maganga akisaini kuzipiga na Kivu Abdi mbele ya Promota Dotto Tesax

SUPER D COACH AKIWA KAZINI KAZI KAZI



Friday, November 10, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO


Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 

Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo

maharusi wakiwa na kaka yao
Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpa hongera bondia Iddi Mkwela baada ya kuchukuwa jiko

Bondia Iddi Mkwela na mkewe wakiwa katika picha yas pamoja na ndugu

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwapongeza maharusi


picha ya ndugu na jamaaa

maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa kikundi cha Kahole Sanaa Group

Maharusi wakiwa na Msanii Teha

Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya

 Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya
 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
BIBI HARUSI ZAWADI MCHARO

BW HARUSI IDD MKWELA


Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni

Monday, October 2, 2017

BONDIA OMARI KIMWERI ATOA MSAADA KWA KINYOGOLI KUPITIA KWA SUPER D NCHINI


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta'  makabidhiano hayo yalifanyika ilala CCM katika kambi ya ngumi vifaa hivyo vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu


KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amemkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha mkongwe wa mchezo huo nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotumwa na  bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia 


vifaa hivyo vya kufundishia vimeletwa na Kimweri kwa ajili ya kufundishia vijana chipkizi wa mchezo wa masumbwi nchini bondia huyo alimpatia Super D ili amwakilishie kwa Kinyogoli kwa kuwa yeye alkikuwa na majukumu mengini 

Super D aliwasilisha vifaa hivyo wa ndindi kwa kocha huyo akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo kocha Kinyogoli amesema anamshukuru sana kimweri kwa msaada wako huo kwa kuwa vijana wengi wakienda nje ya nchi awawakumbuki wenzao lakini yeye mara kwa mara amekuwa akinikumbuka kwa kuniletea vifaa vya mchezo wa masumbwi nchini kwa ajili ya kuwaendeleza wenzake

nakumbuka kesha niletea glove kipindi cha miaka minne iliyopita na sasa ameniletea vifaa hivi hivyo najuwa kuwa kijana anakumbuka nyumbani na hii ndivyo inavyotakiwa kuwakumbuka wenzako kukumbuka ulipotoka

nashukuru sana na nawakikishieni kuwa mabingwa wa mchezo wa masumbwi watatokea hapa ambapo kuna vijana wana nia ya kuwa mabingwa wa Dunia alimaliza kusema Kinyogoli

nae mwakilishi wa Bondia Kimweri ambae ni Super D amesema kuwa mbali na msaada uho kwa Kinyogoli Kimweri ametoa vifaa mbalimbali vikiwemo pad glove bukta kikingia kichwa clip bandeji na vifaa mbalimbali nchini ikiwemo mkoa wa Tanga Dar es salaam na Morogoro vifaa hivyo vimetoka austalia kuja Tanzania kwa ajili ya Watanzania Wote hivyo mabondia wajitokeze kufanya mazoezi kwa moyo mmoja

SUPER D AMWAGIA VIFAA KOCHA HABIBU KINYOGOLI VILIVYOTUMWA NA BONDIA KIMWERI Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS


 

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS















SUPER D AKIWA KATIKA KAMBI YA NGUMI ILALA

Monday, September 18, 2017

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI ANAEISHI AUSTRALIA ATUA BONGO NA KUMUOWA LAWARIDI KIMWERI SHEREHE ILIFANYIKA VIJANA KINONDONI BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia katikati akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS WAGENI WAALIKWA WAKISELEBUKA BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kushoto akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakichukuwa chakula wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na msanii wa kundi la Segere Siza Mazongela wakati wa Sherehe ya bondia Omari Kimweri Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi ncini akiwa na bondia Omari Kimweri wakati wa Sherehe ya bondia huyoi BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia Na Mwandishi Wetu BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia ameamua kuachana na ukapela na kuambua kuowa bondia huyo anaeishi Australia amefanya sherehe mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumuowa Lawaridi Kimweri Jijini Dar es salaam na Sherehe ya Ndoa yao imefanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondondi jijini Dar akizungumza wakati wa shughuli hiyo Kimweri amesema ameamua kuoa ili kujenga familia yake mwenyewe kwa maisha yake unajua watanzania wengi wakienda ulaya awakumbuki nyumbani kwa kuwa awajaacha chochote na awajui lilote na kuanzisha mahusiano na wanzungu wakiwa nje ya nchi hivyo damu yaker kupotea mimi nimeamua kuowa nyumbani kwa kuwa kwanza mimi nimezaliwa Tanzania na kule nina fanya kazi zangu tu hivyo nimerudi nyumbani kuoa ili niendeshe familia yangu kule ulaya ukiwa na mtoto na mzungu asilimia kubwa mtoto sio wako ni wa mwanamke ata hivyo inajulikana kabisa damu za wenzetu wazungu ni kali sana hivyo ata mkizaa mtoto atakuwa wa kizungu na wewe rangi yako itaendelea kuwa nyeusi Kimweri aliongeza kwa kusema kaja nchini na ujumbe wa watu wanne aliokuja nao kwa ajili ya arusi yake pamoja na kufanya utalii katika vivutio mbalimbali ambapo watatembelea mbunga za wanyama ya serengeti mikumi pamoja na kwenda Zanzibar kuona vivutio vyake Bondia Kimweri kwa sasa ambae amejikita katika kufanikisha Tanzania inakuwa juu katika mchezo wa masumbwi kupitia wafadhili wake pamoja na kazi anazozifanya akiwa uko ngambo amewedha kuleta vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi vikiwemo bukta glove flana pad na vitu mbalimbali vinavyo usu mchezo uho aidha amewai kushilikiana na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kuwatafutia mapambano mbalimbali ya mchezo uko nje pamoja na kuwandalia mapambano ya ndani ya nchi

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI ANAEISHI AUSTRALIA ATUA BONGO NA KUMUOWA LAWARIDI KIMWERI SHEREHE ILIFANYIKA VIJANA KINONDONI



 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia katikati akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
  
 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS




WAGENI WAALIKWA WAKISELEBUKA

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kushoto akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakichukuwa chakula wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na msanii wa kundi la Segere Siza Mazongela wakati wa Sherehe ya bondia Omari Kimweri

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi ncini akiwa na bondia Omari Kimweri wakati wa Sherehe ya bondia huyoi

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia 
Na Mwandishi  Wetu

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia ameamua kuachana na ukapela na kuambua kuowa bondia huyo anaeishi Australia amefanya sherehe mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumuowa Lawaridi Kimweri Jijini Dar es salaam na Sherehe ya Ndoa yao imefanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondondi jijini Dar 

akizungumza wakati wa shughuli hiyo Kimweri amesema ameamua kuoa ili kujenga familia yake mwenyewe kwa maisha yake unajua watanzania wengi wakienda ulaya awakumbuki nyumbani kwa kuwa awajaacha chochote na awajui lilote na kuanzisha mahusiano na wanzungu wakiwa nje ya nchi 

hivyo damu yaker kupotea mimi nimeamua kuowa nyumbani kwa kuwa kwanza mimi nimezaliwa Tanzania na kule nina fanya kazi zangu tu hivyo nimerudi nyumbani kuoa ili niendeshe familia yangu kule ulaya ukiwa na mtoto na mzungu asilimia kubwa mtoto sio wako ni wa mwanamke ata hivyo inajulikana kabisa damu za wenzetu wazungu ni kali sana

hivyo ata mkizaa mtoto atakuwa wa kizungu na wewe rangi yako itaendelea kuwa nyeusi

Kimweri aliongeza kwa kusema kaja nchini na ujumbe wa watu wanne aliokuja nao kwa ajili ya arusi yake pamoja na kufanya utalii katika vivutio mbalimbali ambapo watatembelea mbunga za wanyama ya serengeti mikumi pamoja na kwenda Zanzibar kuona vivutio vyake

Bondia Kimweri kwa sasa ambae amejikita katika kufanikisha Tanzania inakuwa juu katika mchezo wa masumbwi kupitia wafadhili wake pamoja na kazi anazozifanya akiwa uko ngambo amewedha kuleta vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi

vikiwemo bukta glove flana pad na vitu mbalimbali vinavyo usu mchezo uho aidha amewai kushilikiana na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

kuwatafutia mapambano mbalimbali ya mchezo uko nje pamoja na kuwandalia mapambano ya ndani ya nchi