Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
SUPER D AKIWA KATIKA KAMBI YA NGUMI ILALA |
No comments :
Post a Comment