Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, January 31, 2017

BONDIA MESHACK MWANKEMWA AWASILI DAR KUMKABILI RAMA SHAURI

Mabondia Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Mwankemwa atapanda ulingoni na 

Ramadhani Shauri

 na Matumla atamkabili Seleiman Shabani Picha na SUPER D BOXING NEWS

Image may contain: 1 person
Bondia Meshack Mwankemwa wa Mbeya
Na Mwandishi Wetu
Bondia Meshack Mwankemwa wa Mbeya ameingia jijini Dar es salaam kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauri mpambano utakaokuwa wa raundi kumi za ubingwa wa EAST/ CENTRAL AFRICA siku ya Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi kumi 

akizungumza na wahandishi wa habari Promota wa mpambano uho Sadick Kinyogoli amesema kuwa huu ni wakati wa mwisho wa kuelekea mpambano wenyewe mana utafanyika mwishoni mwa wiki hii

aliongeza kwa kusema Mwankemwa ametuwa jijini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na Shauri ndio kwao hivyo mpambano utakuwa mkali sana kwa kuwa mabondia wote wameshacheza mapambano makubwa ya kimataifa hivyo wapenzi waje mapema kuangalia burudani ya mchezo wa masumbwi walioikosa kwa kipindi cha nyuma

katika mpambano huo pia kutakuwa na mapambano mengine ya kusindikiza mtanange uho

Kinyogoli alisema kuwa bondia Mohamed Matu,mla atapambana na Mfaume Mfaume wakati bondia chipkizi anaekuja kwa kasi katika mchezo uhu wa masumbwi Iddi Mkwela ataoneshana umwamba na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi zisizokuwa na ubingwa

mchezo mwingine wa ubingwa wa taifa utakuwa kati ya Said Chino na Twalib Tuwa ubingwa wa taifa wa TPBC mkanda ambao unatetewa na Tuwa  Husein Pendeza wa Ashanti Boxing clab ya Ilala atakaevaana na Said Hamdani kutoka Mbezi Conetion na Mbwana Matumla atazichapa na Suleimani Shabani

pamoja na mpambano mwingine wa kimataifa wa kina dada Anisha Bashir kutoka Malawi na Ester Boazi Kazeba wa Tanzania

aliongeza kwa kusema kuwa mabondia wote watapima uzito pamoja na Afya zao siku ya feb 4 katika hotel ya Atrium iliyopo sinza Afrika sana hiyo mabondia wote watakuwa pale jumamosi kwa ajili ya upimaji uzito pamoja na Afya zao

Saturday, January 28, 2017

MABONDIA MBWANA MATUMLA NA MESHACK MWANKEMWA WATAMBA KUWADUNDA WAPINZANI WAO FEB 5 TAIFA

Bondia Mbwana Matumla kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Said Abdulghafoor wakatio wa mazoezi ya Matumla ya kutambulisha mpambano wake na  Seleiman Shabani utakaofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Mwankemwa atapanda ulingoni na 

Ramadhani Shauri

 na Matumla atamkabili Seleiman Shabani Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Mwankemwa atapanda ulingoni na 

Ramadhani Shauri

 na Matumla atamkabili Seleiman Shabani Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mbwana Matumla kushoto akipambana na Meshack Mwankemwa wakati wa mazoezi yao ya mwisho mwisho kabla ya mpambano wao na wapinzani wao Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Matumla atapambana na Seleiman Shabani na Mwankemwa atakabiliana na 

Ramadhani Shauri

 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi nchini Shomali Kimbau akimwelekeza bondia Meshack Mwankemwa wakati wa mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa na 

Ramadhani Shauri

 Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakimfuraia Bondia Mbwana Matumla wa tatu kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wengine kutoka kushoto ni 
William Kaijage Said Abdulghafoor Juma Mbili pamoja na Chaurembo Palasa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Mbwana Matumla anataraji kupanda ulingoni tena baada ya kukaa mnje ya ulingo tangia mpambano wake wa mwisho aliocheza katikas ukumbi wa Dar Live Desemba 25 mwaka 2012  alivyo msambalatisha bondia David Chalanga NairobiKenya

anarudi tena ulingoni Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa kupambana na Suleimani Shabani mpambano wa raundi nane uzito wa Super Feather Weight  

Mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka likiwemo la bondia Meshack Mwankemwa atakaepambana na
 
Ramadhani Shauri

wakati Mohamed Matumla atavaana na Mfaume Mfaume

na Twalibu Tuwa wa Kiwangwa Bagamoyo atavaana na Saidi Chino mpambano wa ubingwa wa Taifa raundi kumi na Husein Pendeza wa Ashanti Boxing clab ya Ilala atakaevaana na Said Hamdani kutoka Mbezi Conetion

Mkwela atazipiga na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi kumasliza ubishi wa nani zaidi ya mabondia hao ambapo Mkwela anafundishwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Issa anaefundishwa na Amos Martin Nkondo kutoka Mbezi Conetion

Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

Saturday, January 21, 2017

BONDIA MFAUME MFAUME AENDELEA KUJIFUA KWA AJILI YA KUMKABILI MUDY MATUMLAS FEB 5 TAIFA

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana  kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akitengeneza misuli ya miguu kwa kujifua kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Matumla Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akinua chuma kizito kwa kutumia miguu kwa ajili ya kutengeneza masozi ya paja wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla mpambano utakaofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa  Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akiwa katika GYM ya Nacoz Camp iliyopo Mabibo akifanya mazoezi kwa ajili ya kupambana na Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana  kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana  kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akifanya mazoezi ya tumbo kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati akijiandaa na mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa 
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msimamizi wa Mazoezi ya tumbo Rajabu Lugome akimpiga tumbo bondia Mfaume Mfaume kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msimamizi wa Mazoezi ya tumbo Rajabu Lugome akimpiga tumbo na gongo bondia Mfaume Mfaume kwa ajili ya kuimalisha misuli ya tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Mohamedi Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea na Mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo

Bondia Mfaume Mfaume  akifanya mazoezi ya kujiandaa kupambana na Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Thursday, January 12, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AJIANDAA KUMKABILI MANYI ISSA FEB 5 TAIFA

Bondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yake wa kujiandaa na kupigana na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Bondia Iddi Mkwela akielekezwa kupiga ngumi zenye mkunjo wa chini 'Upcat' na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Super D gym iliyopo kariakoo shule ya uhuru Mkwela atazipiga na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Bondia Iddi Mkwela akielekezwa kupiga ngumi zilizo nyooka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Super D gym iliyopo kariakoo shule ya uhuru Mkwela atazipiga na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Iddi Mkwela ameingia kambini baada ya kusaini mpambano wake wa raundi kumi uzito wa kg 61 kupambana na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mpambano uho wa mabondia hawo unatarajia kuwa mzuri sana kwa kuwa mabondia wote ndio kwanza wananza kuwika katika tasinia ya masumbwi na ndio mpambano uliobeba hisia za wapenzi na mashabiki wengi wa mchezo wa ngumi kutokana na kutajwa mara kwa mara kwa wapenzi wa wanaofatilia mchezo wa ngumi kwa sasa nchini

akizungumza kuhusu mpambano wake uho Mkwela amesema kuwa anae mtafuta sio yeye kabisa kwani ayupo katika akili yangu kwa kuwa kesha jipendekeza huyu atakuwa kafanywa kafala kwani ndio njia yangu ya kwenda kwa mabondia ninao wataka huyu sio saidi yangu ngumi ajajua ili mikono ita ongea siku hiyo sina maneno mengi alisema Mkwela;

nae kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' anae mnowa bondia huyo amesema kwa kuwa mpambano wa kwanza kwa Mkwela kucheza raundi kumi naitaji nimwangalie pumzi yake kwani mazoezi anafanya mengi ya nguvu na ana bidii ya mazoezi matumaini yangu atashinda ushindi ambao ato wasumbua majaji kuandika katika karatasi zao yani K.O ya mapema

Ahidha siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kukata na shoka ambapo bondia kutoka mbeya Meshack Mwankemwa atakumbana na Ramadhani Shauri katika mpambano wa raundi kumi za ubingwa

Mpambano mwingine utawakutanisha bondia Mohamed Matumla atakaevaana na Mfaume Mfaume wengine ni Mohamed Swedi atakae vaana na Ahidar Mchenjo na Ibrahimu Maokola atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha  pamoja na mapambano mengine mbalimbali

MABONDIA MFAUME MFAUME NA MUDDY MATUMLA WATAMBIANA KUZIPIGA FEB 5 TAIFA

Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Mratibu wa mpambano wa masumbwi Chese Masanja kulia akimwinua mkono juu bondia Manyi Issa kwa ajili ya kumtambulishe mbele ya wahandishi wa habari kuhusu mpambano wake wa Feb 5 na Iddi Mkwela raundi kumi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mratibu wa mpambano wa masumbwi Chese Masanja kulia akimwinua mkono juu bondia Ramadhani Shauri kwa ajili ya kumtambulishe mbele ya wahandishi wa habari kuhusu mpambano wake wa Feb 5 na Meshack Mwankemwa raundi kumi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano waop wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni maratibu wa mpambano uho Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Mfaume Mfaume na Mohamed Matumla wametambiana mbele ya wahandishi wa habari wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa

Akizungumza mbele ya wahandishi wa habari mratibu wa mpambano uho Chese Masanja amesema mahandalizi yote yapo sawa na mabondia wapo katika morali ya mchezo yani ata wakiambiwa wapigane leo wanapigana kwa kuwa wapo fiti

aliongeza kwa kusema matangazo ya barabaradi yashanza kufanyika yani road show kwa ajili ya kutanzanza mpambano uhu arikadharika matakazo ya kwenye nguzo mbalimbali yani posters tiali zisha sambaa karibu ya Dar es salaam nzima na pembezoni mwa Dar es salaam

aliongeza kwa kusema mbali ya mpambano wa mabondia Mfaum,e Mfaume na Mohamed Matumla kutakuwa na Mapambano mengine ya kukata na shoka

Bondia Ranmadhani Shauri wa Dar atazipiga na Meshack Mwankemwa wa Mbeya nae Zumba Kukwe wa Kibaha Maili Moja ataoneshana umwamba na Ibrahimu Maokola

wakati mabondia wanaokuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi kwa sasa Iddi Mkwela atazipiga na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi kumasliza ubishi wa nani zaidi ya mabondia hao ambapo Mkwela anafundishwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Issa anaefundishwa na Amos Martin Nkondo kutoka Mbezi Conetion