Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, January 12, 2017

MABONDIA MFAUME MFAUME NA MUDDY MATUMLA WATAMBIANA KUZIPIGA FEB 5 TAIFA


Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Mratibu wa mpambano wa masumbwi Chese Masanja kulia akimwinua mkono juu bondia Manyi Issa kwa ajili ya kumtambulishe mbele ya wahandishi wa habari kuhusu mpambano wake wa Feb 5 na Iddi Mkwela raundi kumi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS


Mratibu wa mpambano wa masumbwi Chese Masanja kulia akimwinua mkono juu bondia Ramadhani Shauri kwa ajili ya kumtambulishe mbele ya wahandishi wa habari kuhusu mpambano wake wa Feb 5 na Meshack Mwankemwa raundi kumi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS




Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano waop wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni maratibu wa mpambano uho Chese Masanja Picha na SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Mfaume Mfaume na Mohamed Matumla wametambiana mbele ya wahandishi wa habari wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa

Akizungumza mbele ya wahandishi wa habari mratibu wa mpambano uho Chese Masanja amesema mahandalizi yote yapo sawa na mabondia wapo katika morali ya mchezo yani ata wakiambiwa wapigane leo wanapigana kwa kuwa wapo fiti

aliongeza kwa kusema matangazo ya barabaradi yashanza kufanyika yani road show kwa ajili ya kutanzanza mpambano uhu arikadharika matakazo ya kwenye nguzo mbalimbali yani posters tiali zisha sambaa karibu ya Dar es salaam nzima na pembezoni mwa Dar es salaam

aliongeza kwa kusema mbali ya mpambano wa mabondia Mfaum,e Mfaume na Mohamed Matumla kutakuwa na Mapambano mengine ya kukata na shoka

Bondia Ranmadhani Shauri wa Dar atazipiga na Meshack Mwankemwa wa Mbeya nae Zumba Kukwe wa Kibaha Maili Moja ataoneshana umwamba na Ibrahimu Maokola

wakati mabondia wanaokuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi kwa sasa Iddi Mkwela atazipiga na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi kumasliza ubishi wa nani zaidi ya mabondia hao ambapo Mkwela anafundishwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Issa anaefundishwa na Amos Martin Nkondo kutoka Mbezi Conetion


Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 



Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

No comments :

Post a Comment