Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, September 16, 2017

IDD MKWELA ASIKILIZIA PROMOTA KAIKE


 

Na Mwandishi Wetu

BONDIA wangumi za kulipwa Idd Mkwela baada ya majuma kadhaa yaliyopita kujinasibu kuwa anaogopwa na mabondia aliowataja kwa kumkimbia kwa makusudi lakini kwa sasa

amekuwa na madhungumzo na promota Kaike siraju ambaye ameonesha nia ya kumpatia mpambano bondia huyo Octoba 28 ambapo amesema atamsainisha na bondia Issa Nampepeche au Deo Samweli kaike alienda mbali zaidi na kusema kuwa baada ya kufanikiwa kushinda mpambano uho ata mpatia mapambano ya mabondia anao wataka

nae Mkwela amesema kuwa yeye ni bondia ivyo bondia yoyote atakaekuja kwake awezi kuchaguwa kwani ndio kazi anayoifanya na ndio aliyoichagua hivyo kazi kazi

aliendelea kwa kusema kwa sasa nafanya mazoezi ya nguvu japo kuwa bado sijasaini mkataba ila najua promota atajitokeza wakati wowote ule kwa ajili ya mpambano wangu na bondia yoyote ajae mbele yangu nitamsambalatisha bila huruma

kwani kwa sasa nina uwezo wa kupitiliza mazoezi ninayofanya mpaka najiogopa naisi ipo siku nitakuji kuuwa bondia ulingoni mana nipo tofauti sana na mabondia wa kibongo wanaojibweteka wakipata majina kidogo wanajiona wapo juu zaidi ila ole wao wakiingia katika anga zangu

na kwa sasa mimi kama mimi sichezi raundi ndogo ngogo mana asije promota akasema anichezeshe raundi nne izo ni raundi za watu wanaojifunza kupanda ulingoni mimi nacheza raundi kumi au 12 ambazo anapaswa kucheza bondia wa ngumi za kulipwa

pia mkwela ameomba makampuni na taasisi mbalimbali kujitokeza kuwapa ufadhili mbalimbali ikiwemo vifaa vya mchezo wa masumbwi pamoja na galama za kujikimu wakati wa mazoezi ili mabondia waweze kufanya vizuri ikumbukwe mchezo wa ngumi pekee ndio inaweza kuipa sifa Tanzania kwa kutuletea mabingwa wa Dunia 

No comments :

Post a Comment