VICENT MBILINYI AJIFUA KUMPIGA K,O SAIDI KIDEDEA SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Bondia Idd Mkwela kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Shomari Milundi kushoto akipmbana na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika ukumbi wa Uwanja wa Ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa kuzipiga na Saidi Kidedea Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Shomari Milundi wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa kuzipiga na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi akipambana na Sunday Kiwale wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Sunday Kiwale wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Saidi Kidedea Septemba 15 katika uwanja wa ndni wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
No comments :
Post a Comment